Je, kumfungulia Biashara mkeo unaweza kuacha kutoa pesa ya matumizi nyumbani?

Je, kumfungulia Biashara mkeo unaweza kuacha kutoa pesa ya matumizi nyumbani?

KijanaHai

Member
Joined
Aug 7, 2022
Posts
7
Reaction score
6
Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata.

Lakini naomba kuuliza endapo mwanaume hasa waliopo kwenye ndoa je unapoamua kutafuta mtaji na kufungu biashara ili mkeo iwe chanzo cha kutatua mambo mdogo mdogo nyumbani je bado mwanaume inatakiwa aendelee kubeba jukumu la kutoa pesa ya matumizi nyumbani ilihali mke tayari biashara aliyofunguliwa inaweza kufanya jukumu hilo? Ili mwaume abaki kupambana na ndoto za watoto na mambo makubwa makubwa kwa ajili ya Kesho?

Kama ndio je kuna haja gani ya kumfungulia mkeo biashara?

Kama sio je haitakuwa chanzo cha migogoro na kuonekana mwanaume hutimizi majukumu yako?
 
Mmmh wanaume wa sasa wanajitahidi kila namna kukwepa tu majukumu
 
Back
Top Bottom