Je, kumiliki silaha ni suluhisho dhidi ya watekaji wasiojulikana?

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,571
Reaction score
3,448
Katika pita pita zangu za twitter kuna mdau katoa solution dhidi ya watekaji ambao tumewapa jina la watu wasiojulikana.
Anashauri kuwa wakati wa kuwa na silaha katika shughuli za harakati za kisiasa ni huu.ili wakitokea hao watekaji wapate kashkashi.

Je ni suluhisho?
 
Hivi unakumbuka kipindi cha kwanza tuu magufuli kuingia madarakani alitoa tamko wote wanaomiliki silaha wakajisahili upya hadi na yeye kusajili yake alikuwa hana akili au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…