Je, kumkandamiza Mwanamke Mabao/Magoli mengi ndiyo kumtosheleza?

Je, kumkandamiza Mwanamke Mabao/Magoli mengi ndiyo kumtosheleza?

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Kuna Mtaalam Mmoja nimetoka Kumsikiliza muda si mrefu na alichokisema nimeamini kuwa kumbe Kukimbia Kasi siyo Kuwahi Kufika Uendako.

Je, Kumkandamiza Mwanamke Mabao / Magoli mengi ndiyo Kumtosheleza kwa Kufika Kwake Kileleni au ni Ushamba na Kujichosha kama siyo Kujiumiza Mwenyewe?
 
Title ni maelezo tosha yaani mi nilijua nikifika humu nitakuta picha kwakua maelezo tayari.
 
kutokana na kichwa cha habari... jibu ni ushamba, kujichosha na kujiumiza mwenyewe.
 
kutokana na kichwa cha habari... jibu ni ushamba, kujichosha na kujiumiza mwenyewe.

Kwa hili Jibu lako naomba Kwanza tutambuane je, Wewe Mwenzangu Unanyiri kama Mimi au labda Unanyiriwa kutokana na huu Mrejesho wako?
 
Kuna Mtaalam Mmoja nimetoka Kumsikiliza muda si mrefu na alichokisema nimeamini kuwa kumbe Kukimbia Kasi siyo Kuwahi Kufika Uendako.

Je, Kumkandamiza Mwanamke Mabao / Magoli mengi ndiyo Kumtosheleza kwa Kufika Kwake Kileleni au ni Ushamba na Kujichosha kama siyo Kujiumiza Mwenyewe?
Mkuu mwanaume unapaswa utawale mchezo mzima,,ila uwe na magoli machache sana kulingana na mwanamke,,, dume zima halipaswi kujisifia uwingi wa kukojowa magoli mengi wakati mwanamke hajakojowa hata Mara moja...hiyo ni kazi bure mkuu...yapaswa mwanamke umkojoze magoli mengi sana kuliko wewe mwanaume...huko ndy kumridhisha mwanamke.. Tena umkojoze kwa DUSHE,, sio kwa msaada wa vidole
 
Back
Top Bottom