Je, kumpiga kwa kiatu Rais ni busara au ushujaa kama siyo jinai?

Je, kumpiga kwa kiatu Rais ni busara au ushujaa kama siyo jinai?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Alipotupiwa kiatu, George Bush alicheka tu japo dent was done. Je kwanini watu wanafikia hatua hii? Je, wahusika wanajifunza nini?

Je nini kifanyike?

Je, kwanini watawala wanajiachia na kujisahau? Ungekuwa wewe uliyetupa kiatu, ungejiteteaje?

Je, tunajifunza nini kama watanzania?

Kwanini wajaluo mabingwa wa kutupa mawe, hawakutumia ile zana yao?
 
Back
Top Bottom