[emoji16] [emoji16] Tabia mbaya
DuhMi kuna mmoja nimekula mara 17 na hatujawahi salimiana wala kuongeleshana. Nb wote sio mabubu
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nilianza ku like posts za Asprin tangu tukiwa darasa la kwanza
Baadaye ikawaje? Au likes inaendelea hadi sasa mkiwa graduates? Hahahahaha...Mimi nilianza ku like posts za Asprin tangu tukiwa darasa la kwanza