Je, kumsalimia mtu ndo dalili ya kumpenda?

Je, kumsalimia mtu ndo dalili ya kumpenda?

Mi kuna mmoja nimekula mara 17 na hatujawahi salimiana wala kuongeleshana. Nb wote sio mabubu

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi naona huo ni utamaduni wa Mtanzania halisi aliezaliwa kukua na kulelewa kimaadili ktk familia yenye hekima, busara, utii, na hofu ya Mungu. (Hapa tuitoe kbs Dar es salaam)
Salam ni kiunganishi kati ya mtu na mtu kwa kuzingatia utu wetu. Ikiwa wewe umetoka ktk ile mikoa kuwa kumsalimia mtu lazima uwe unamfahamu, basi unaweza kuitafsiri salamu kuvingine.
 
Hapana salamu ni jambo la kuheshimiana wala siyo dalili ya kumpenda au kumtaka mtu...


Dalili au viashiria vya kupendwa ni zaidi ya salamu...

Ukiona unamsalimia mtu mara kwa mara alafu anakuona kama vile unajirahisisha kwake ujue huyo ana matatizo au yeye ndiyo anayekupenda wewe ila domo zege...


Cc: mahondaw
 
Mijitu inayojidanganya ivyo ina primitive thoughts tu na ujinga uliokithiri
 
Huwezi kunisalimia Mara mbili mbili halafu nikuache salama
Nitakuomba namba na papuchi utatoa tu maana hakuna namna sasa
 
Sasa ukiwa ktk ofisi si utasema kila mtu anakutaka maana kusalimiana ni kawaida
 
Back
Top Bottom