Je, kumuacha mtu umpendaye ni rahisi?

Shida ilianzia hapa,ndio maana msingi wa comment nikataka kujua kama ulikuwa lupango,kumbe nawe umebadilisha gia angani,unakwama wapi kpnz?
Wewe ndo hujaelewa,,lupango ni gereza la kupenda mtu then nkachomoka,,hio ndo maana yangu🤣🤣🤣we nawe umevurugwa
 
Ugumu unatokana na ukweli kuwa tunaacha kifizikali tu na siyo kroho ". Wengi wetu tunasema tumeachana au tumeacha ila spiritually kunakuwa na muunganiko bado.
............................................................
Tengeneza umbali kiroho kwanza kabla ya umbali kimwili.
 
Mkuu pole sana, ingekuwa ndio mimi nimeachwa na huyo nisingemsahau maana huku daslam kuna msosi pendwa unaitwa hilo jina, kila mara ingenilazimu kulitamka kwa uchungu
😃😃 Ahsante Kaka haikuwa rahisi kumsahau Ila nilijitahidi mpaka siku namuona nokabaki kushangaa yaani hiki kituko ndiyo kilifanya niishi kwa shida vile ?
 
Mwanamke haachwi ila anapumzishwa, wewe mpumzishe halafu tafuta pisi kali nyingine udumu nayo miezi miwili tu, utakuja kuona tofauti hadi ujishangae....
 
Wewe ndo hujaelewa,,lupango ni gereza la kupenda mtu then nkachomoka,,hio ndo maana yangu🤣🤣🤣we nawe umevurugwa
Kwahiyo nami nitoke ktk lupango la kukupenda wewe? Au tunafanyeje
 
Pole sana mkuu, mwaka jana nlipitia situation kama yako. Yaan nlimpenda dem had wanawake wengine nikawa nawaona kama wanaume wenzangu tu, no feelings. Akaja kunipiga chini bhana, nikawa nkilala naweweseka namuota🤣🤣. Ilinichukua almost mwezi mzima kuanza kupona, nlianza kujikeep bize kuliko mwanzo, Nikawa nafanya mazoezi asubuhi na jioni, Nikazidi kujipenda kwanza kuliko before. (Kuvaa vizuri zaidi, kunukia n.k), Nikawa naenda sehemu za starehe kilasiku, kingine kilichonisaidia ni kwamba mi napenda sana Mpira NBCPL na EPL pamoja na Kuangalia Movie. Kwakifupi akili ikiwa bize na vitu vingine hukawii kupona.

Sasahivi anataka turudiane kwanza namuona Mbaya balaa, ananiambia katendwa huko namuomba na namba ya jamaa aliemtenda then nampigia simu kumbembeleza amrudie Dear Ex. Yaan sina hisia nae kabisa.

I HOPE UTAKAA SAWA MKUU. PIGA CHINI HUYO, NA KISHAKUJUA HUNA PA KWENDA ATAKUTESA ZAIDI.
 
Itafika moment utaanza kujiuliza hivi huyu nlimpendea nini? Trust me bro!.
 
Mchukulie kama vile ni mama Yako mzazi utamuacha tuu!
 
Pole Sana ndugu, ila utavuka tu
 
Pole mkuu fanya hivi anza zoezi kabla huja muacha. Kila akikukwaza kunywa maji funda 3 tu.
Ukihisi hupati uchungu uliokuwa ukiupata hapo sasa unaamua moja kati ya 1. KUMUACHA
2. KUTO KUMUACHA
 
Unaogopa kumpoteza kwa sababu ya weak mental frame yako, unafikiri hautaweza kupata mwanamke mwingine, unafikiri hautaweza kufanya mambo yako.

Nothing will happen to you if you decide to dump her. Fanya tamthmini ya hayo mahusiano halafu uone nani kati yenu anaewekeza zaidi, nani anemsaidia mwenzake zaidi, utagundua ni wewe, sasa kwanini uogope kuachana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…