Je, kuna aliyewahi shuhudia mwanamke mwenye kipara kati ya kichwa chake?

Dusabimana

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2019
Posts
278
Reaction score
248
Wanajukwaa habarini za leo!

Ninaomba kufahamu kama yupo mwanamke mwenye kipara kati ya kichwa chake, maana nimewahi shuhudia wanawake wenye ndevu tu.
 
Dusabimana,

Hakuna uwezekano wa kutokea wanawake wenye vipara/viualaza, kizungu wanaita baldness.

Hii ni kwa mujibu wa Concept za Genetical Inheritance.

Wanaelezea kuwa kuota kipara imekuwa limited kwa wanaume tu, kitaalamu wanaita Sex Limited Trait.

Kwahiyo ni wanaume tu ndio wenye uwezo wa kutengeneza kipara, na hiyo ni mpaka uwe na Genetic History ya kutokea kwenye ukoo wenu.
 
Asa

Wapo sema wanavificha na mawig na weaving. Mi ambae sijawahi kuona ni mwanamke muuza bucha
Ngumu kuamini hiyo Asee! Sija maanisha wasio ota nywele kichwa kizima. Nime maanisha wenye nywele na upara kati!
 
Back
Top Bottom