Dusabimana
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 278
- 248
Na kwanini wawe Wanawake Wazee wa kihindi tu wasiwepo Vijana wa Kike wenye vipara, kama ilivyo kwa baadhi ya Vijana wa Kiume?!
Nmepata sh 7500 kwa account yngWewe umepost swali lako hapa umepata nn ulichofaidika nacho?!
Hakuna uwezekano wa kutokea wanawake wenye vipara/viualaza, kizungu wanaita baldness.
Hii ni kwa mujibu wa Concept za Genetical Inheritance.
Wanaelezea kuwa kuota kipara imekuwa limited kwa wanaume tu, kitaalamu wanaita Sex Limited Trait.
Kwahiyo ni wanaume tu ndio wenye uwezo wa kutengeneza kipara, na hiyo ni mpaka uwe na Genetic History ya kutokea kwenye ukoo wenu.
Ngumu kuamini hiyo Asee! Sija maanisha wasio ota nywele kichwa kizima. Nime maanisha wenye nywele na upara kati!Wapo sema wanavificha na mawig na weaving. Mi ambae sijawahi kuona ni mwanamke muuza bucha