Je kuna ambao walitokea katika mlango huu?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Salute viranja,

Niingie moja kwa moja kwenye mada, nilituma maombi ya kazi katika kampuni nyingi tu hapa DSM, lakini sikujibiwa.


Kuna kampuni moja ivi nilituma zaidi ya mara tatu, bila feedback yoyote, ila watu wananiahauri nifanye kazi zile temporary ipo inapatikana kwenye hiyo kampuni, halafu nikishaingia pale itakuwa rahisi kwa mimi kujuana na wale wakuu, ili niwaelezee shida yangu, naweza nikaeleweka na nikaupata huo mchongo.


Mradi wa biashara upo unajiendwaha vizuri tu, sasa mimi nahitaji kuajiriwa kwanza nikatumikie nilichosomea.

Hofu yangu ni kwamba, kufanya kazi ngumungumu siwezi, kufanya kazi kwa muda mrefu siwezi.



Sasa nifenyeje wandugu katika hili?, wapo waliotoka kwa style hii?


Jokes is not allowed , huna ushauri mzuri pita mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatafuta kazi na uku unajipangia kazi za kufanya. Hili kweli ni janga baadae tunaambiwa wabongo wavivu kufanya kazi kwa sababu ya watu km wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…