Kitumbua-Cha-200 New Member Joined Mar 30, 2025 Posts 3 Reaction score 16 Jul 23, 2025 #1 Eti Mdau... Kijana wa kidato Cha nne, ikiwa amepata ufahuru wa daraja la nne(4.30). Akaendelea na elimu ya juu (chuo) . Nakuweza kufahuru Kwa G.P.A nzuri ya 4 or 3. Je matokeo yake ya kidato Cha nne yanaweza kufanya asipate ajira Kwa upande wa CV?
Eti Mdau... Kijana wa kidato Cha nne, ikiwa amepata ufahuru wa daraja la nne(4.30). Akaendelea na elimu ya juu (chuo) . Nakuweza kufahuru Kwa G.P.A nzuri ya 4 or 3. Je matokeo yake ya kidato Cha nne yanaweza kufanya asipate ajira Kwa upande wa CV?
Jerry001 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 1,685 Reaction score 4,003 Jul 23, 2025 #2 Alianza na certificate, kisha diploma bila shaka. Kama ni hivyo hakuna tatizo.
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,383 Reaction score 13,470 Jul 23, 2025 #3 Hamna kitu hicho...ajira atapata fresh tu tena kumzidi mtu mwenye 1 form 4 alafu chuo ana 2.8 gpa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 78,950 Reaction score 236,667 Jul 23, 2025 #4 Kitumbua-Cha-200 said: Eti Mdau... Kijana wa kidato Cha nne, ikiwa amepata ufahuru wa daraja la nne(4.30). Akaendelea na elimu ya juu (chuo) . Nakuweza kufahuru Kwa G.P.A nzuri ya 4 or 3. Je matokeo yake ya kidato Cha nne yanaweza kufanya asipate ajira Kwa upande wa CV? Click to expand... Hakuna shida kabisa, Hata Mama yetu naye hakufaulu vizuri ila leo hii ni Rais wa nchi.
Kitumbua-Cha-200 said: Eti Mdau... Kijana wa kidato Cha nne, ikiwa amepata ufahuru wa daraja la nne(4.30). Akaendelea na elimu ya juu (chuo) . Nakuweza kufahuru Kwa G.P.A nzuri ya 4 or 3. Je matokeo yake ya kidato Cha nne yanaweza kufanya asipate ajira Kwa upande wa CV? Click to expand... Hakuna shida kabisa, Hata Mama yetu naye hakufaulu vizuri ila leo hii ni Rais wa nchi.
Bird Watcher JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 4,614 Reaction score 9,689 Jul 23, 2025 #5 Hapo hakuna shida kabisa mkuu