Ya kutokufanya tangu nizaliwe wasema weyeHujafanya tangu uzaliwe "lakini" ulifanya ukiwa na miaka 14!Madhara yake ni kupoteza "mwelekeo" wa unayoongea na kuandika ambapo hutokea mkanganyiko au mnyukano wa dondoo uzilengazo. Take it easy, boss! Jus' kidding!
Umejuaje kama upo fit?...[emoji1] [emoji1] hata gari huwezi paki kwa miaka 12 ukalikuta zimaSina tatizo.. niko fit!
Kumbe unazo kumbukumbu? Watawa hawafanyi. Je, umewahi kusikia wamedhurika?Ya kutokufanya tangu nizaliwe wasema weye
Nitajie mtawa mmoja ambaye hafanyi ngonoKumbe unazo kumbukumbu? Watawa hawafanyi. Je, umewahi kusikia wamedhurika?
Haaa.... Yani kumbe ndo ulivyo??Mkuu umetisha
Miaka 14 ulikuwa hujitambui??
Sema ndani ya hiyo miaka 12 kama hata umember wa CHAPUTA hauna basi lipo tatizo
Sio mimiHaaa.... Yani kumbe ndo ulivyo??
Sijawahi kushuhudia yeyote akifanya ngono. Wewe waweza kunisaidia kwa faida ya wote, tena kwa majina na sehemu uliyoshuhudia? Usiandike kuwa umewahi kusikia, toa ushahidi wako!Nitajie mtawa mmoja ambaye hafanyi ngono
Lipia tangazo lako