Je, kuna athari yoyote mwanaume asiposhiriki ngono?

Mi nilijaribu nikashindwa.. Ndoto za ajabuajabu zikawa zinaniandama.. Jitahidi mkuu.

Till you get married..

Mwenzio ilinibidi nikamwone mchungaji akaniambia katika ndoa ndoa alizofungisha Alimpata mwanaume mmoja tu ambae hajawahi..

Kiukweli nilichukua uamuzi niloona ni sahihi kwangu..
 
..Mkuu una tatizo haiwezekani ujitambue ukiwa 14 alaf usifanye ngono onwards
 
Utakua unafanya kale kamchezo kengine al maarufu km nyeto sibure
 
Great!
 
Hamna Tatizo Mkuu... Hongera Sana Kwa Ustahamilivu.... Yaani Kwa Ustahamilivu Huo Mkuu Kwanini Usiwe Mshabiki Wa Arsenal? ...
 
ila una cheo cha juu kabisa CHAPUTA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi kushuhudia yeyote akifanya ngono. Wewe waweza kunisaidia kwa faida ya wote, tena kwa majina na sehemu uliyoshuhudia? Usiandike kuwa umewahi kusikia, toa ushahidi wako!
Sasa kama hujawahi kushuhudia kwa nini uconclude kuwa watawa hawafanyi ngono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…