Je kuna benki inaweza kumkopesha mwalimu fedha nyingi kama 60m hadi 80m

The Hidden

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
246
Reaction score
102
Kwa yeyote aliye mwalimu au mwenye kujua kuhusu mikopo kwa waalimu naomba kuuliza...

Je, inawezekana kukopeshwa pesa ndefu(about 60M-80M) kutoka benki(kwa udhamini wa mwajiri na mshahara ) ikiwa nipo tayari kurejesha kwa muda mrefu hata 30yrs???
Na kama inawezekana benki gani itanifaa??
 
Tupe basic pay yako na salary scale kwanza
 
Walimu utazani tulizaliwa tuna ndoto yakukopa afu sana sana wa serikali ndo wakopaji wakubwa

Magu tunyoooshe baba
 
HAIWEZEKANI

SABABU
1.Benki nyingi limit yao ya muda wa kumaliza mkopo ni miaka mitano.

2.Sijawai kuona mwalimu ambae amekopa zaidi ya million 25 kwa sababu ya mishahara yao.

3.Pia mtumishi anakatwa 1/3 ya mshahara ikizidi hapo HRO anakataa wakati wa kupeleka deduction.

4.Wenye uwezo wa kukopa sana ni Wanajeshi tu maana jeshi mmoja anakopa adi million 50 peke ake. kwa sababu riba yao inakuwa chini na pia calculation zao ziko tofauti na watumishi wengine
 
Yala utanfanya niwe mjeshi ,,ivi wanawezaga kuacha kazi kweli?
 
Walimu utazani tulizaliwa tuna ndoto yakukopa afu sana sana wa serikali ndo wakopaji wakubwa

Magu tunyoooshe baba
Jielewe usiropoke tu kama mtoto asiyejua maisha, halafu kukopa hulazimishwi we kama unaona huna haja ya kukopa hakuna wa kuja kukuuliza kwanini hukopi!
 
HAIWEZEKANI

SABABU
1.Benki nyingi limit yao ya muda wa kumaliza mkopo ni miaka mitano.

2.Sijawai kuona mwalimu ambae amekopa zaidi ya million 25 kwa sababu ya mishahara yao.

3.Pia mtumishi anakatwa 1/3 ya mshahara ikizidi hapo HRO anakataa wakati wa kupeleka deduction.

4.Wenye uwezo wa kukopa sana ni Wanajeshi tu maana jeshi mmoja anakopa adi million 50 peke ake. kwa sababu riba yao inakuwa chini na pia calculation zao ziko tofauti na watumishi wengine
Vipi kuhusu kukopa tena kabla ya kumaliza deni?
 
Kwa yeyote aliye mwalimu au mwenye kujua kuhusu mikopo kwa waalimu naomba kuuliza...

Je, inawezekana kukopeshwa pesa ndefu(about 60M-80M) kutoka benki(kwa udhamini wa mwajiri na mshahara ) ikiwa nipo tayari kurejesha kwa muda mrefu hata 30yrs???
Na kama inawezekana benki gani itanifaa??
Mwalimu akikopeshwa 80M ataweza kweli kurudi darasani na kufundisha? Hata kama kungekuwepo na hiyo benki, sishauri asee! Mwalimu hatakiwi kuwa mtu tajiri hata siku moja... Mwalimu ili awe mwalimu lazima aishi maisha ya kuunga unga! 🙄
 
Vipi kuhusu kukopa tena kabla ya kumaliza deni?
Kwa kawaida unapokopa unatakiwa urejeshe basic amount ndipo uruhusiwe kukopa tena mfano ukikopa 100 million kwa miaka mitano utalipa jumla 150million. Hivyo wakishachukua 100 yao sasa unaweza kuongezea ila kabla ya hapo sahau.
 
Mwalimu akikopeshwa 80M ataweza kweli kurudi darasani na kufundisha? Hata kama kungekuwepo na hiyo benki, sishauri asee! Mwalimu hatakiwi kuwa mtu tajiri hata siku moja... Mwalimu ili awe mwalimu lazima aishi maisha ya kuunga unga! 🙄

Ualimu majanga sana....unaweza kujifikria bora uchome cd ktaa...hii kaz kwa bongo ni kama laana.
 
HAIWEZEKANI

SABABU
1.Benki nyingi limit yao ya muda wa kumaliza mkopo ni miaka mitano.

2.Sijawai kuona mwalimu ambae amekopa zaidi ya million 25 kwa sababu ya mishahara yao.

3.Pia mtumishi anakatwa 1/3 ya mshahara ikizidi hapo HRO anakataa wakati wa kupeleka deduction.

4.Wenye uwezo wa kukopa sana ni Wanajeshi tu maana jeshi mmoja anakopa adi million 50 peke ake. kwa sababu riba yao inakuwa chini na pia calculation zao ziko tofauti na watumishi wengine
Kwa kuanzia, hakuna benki inayokopesha waalimu. Ila benki karibu zote hukopesha watumishi wa serikali wakiwemo waalimu. Kiasi cha mkopo kinategemea na mshahara wa mtu. Kuna waalimu walioko H wana kipato kizuri tu na wanaweza kukopa mpa milioni thelathini. Akimaliza anakopa tena na tena mwisho wa siku atakuwa amekopa zaidi ya hizo milioni sitini.
Lakini benki pia hukopesha watu kwa ajili ya miradi ya kibiashara. Kama mchanganuo wako utaonyesha unahitaji mtaji wa milioni sitini na ukaainisha utakavyokuwa unapata faida na kurejesha mkopo, benki itakukopesha hata milioni mia moja, ili mradi ukidhi masharti yao.
Tatizo jamii ya kitanzania inadharau sana waalimu. Mimi sioni tofauti ya mwalimu na afisa utumishi kwa misingi ya mshahara.
 
Mwalimu akikopeshwa 80M ataweza kweli kurudi darasani na kufundisha? Hata kama kungekuwepo na hiyo benki, sishauri asee! Mwalimu hatakiwi kuwa mtu tajiri hata siku moja... Mwalimu ili awe mwalimu lazima aishi maisha ya kuunga unga! 🙄
Acha dharau
 
Na kulimbikiza deni(kukopa tena) kabla ya kumaliza deni inawezekana?
Haiwezekan mana wanaangalia mshahara ulionao kwa kawaida ukikopa umatakiwa ubaki na kias flan cha mshahara na sio 0 pia unapokopa million 12 unaweza kujikuta kwa mwezi wanaka sio chini ya laki 2 ila itatoka na mda utakao taka kulipa deni.
 
Back
Top Bottom