The Hidden
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 246
- 102
Tupe basic pay yako na salary scale kwanzaKwa yeyote aliye mwalimu au mwenye kujua kuhusu mikopo kwa waalimu naomba kuuliza...
Je, inawezekana kukopeshwa pesa ndefu(about 60M-80M) kutoka benki(kwa udhamini wa mwajiri na mshahara ) ikiwa nipo tayari kurejesha kwa muda mrefu hata 30yrs???
Na kama inawezekana benki gani itanifaa??
TGTS D1, ndo mwanzo tu wa kazi kwa ngazi ya degree!Tupe basic pay yako na salary scale kwanza
Bank gani mkuu? Vipi calculator yenu ipoje?Tupe basic pay yako na salary scale kwanza
DuhMkopo unatolewa kulingana na ngazi ya mshahara jwa D mwisho million 12
Na kulimbikiza deni(kukopa tena) kabla ya kumaliza deni inawezekana?Mkopo unatolewa kulingana na ngazi ya mshahara jwa D mwisho million 12
Yala utanfanya niwe mjeshi ,,ivi wanawezaga kuacha kazi kweli?HAIWEZEKANI
SABABU
1.Benki nyingi limit yao ya muda wa kumaliza mkopo ni miaka mitano.
2.Sijawai kuona mwalimu ambae amekopa zaidi ya million 25 kwa sababu ya mishahara yao.
3.Pia mtumishi anakatwa 1/3 ya mshahara ikizidi hapo HRO anakataa wakati wa kupeleka deduction.
4.Wenye uwezo wa kukopa sana ni Wanajeshi tu maana jeshi mmoja anakopa adi million 50 peke ake. kwa sababu riba yao inakuwa chini na pia calculation zao ziko tofauti na watumishi wengine
kazi unaruhusiwa kuacha maana kuna msela wangu alikuwa jeshi la majini, but now kaachaYala utanfanya niwe mjeshi ,,ivi wanawezaga kuacha kazi kweli?
Jielewe usiropoke tu kama mtoto asiyejua maisha, halafu kukopa hulazimishwi we kama unaona huna haja ya kukopa hakuna wa kuja kukuuliza kwanini hukopi!Walimu utazani tulizaliwa tuna ndoto yakukopa afu sana sana wa serikali ndo wakopaji wakubwa
Magu tunyoooshe baba
Vipi kuhusu kukopa tena kabla ya kumaliza deni?HAIWEZEKANI
SABABU
1.Benki nyingi limit yao ya muda wa kumaliza mkopo ni miaka mitano.
2.Sijawai kuona mwalimu ambae amekopa zaidi ya million 25 kwa sababu ya mishahara yao.
3.Pia mtumishi anakatwa 1/3 ya mshahara ikizidi hapo HRO anakataa wakati wa kupeleka deduction.
4.Wenye uwezo wa kukopa sana ni Wanajeshi tu maana jeshi mmoja anakopa adi million 50 peke ake. kwa sababu riba yao inakuwa chini na pia calculation zao ziko tofauti na watumishi wengine
Mwalimu akikopeshwa 80M ataweza kweli kurudi darasani na kufundisha? Hata kama kungekuwepo na hiyo benki, sishauri asee! Mwalimu hatakiwi kuwa mtu tajiri hata siku moja... Mwalimu ili awe mwalimu lazima aishi maisha ya kuunga unga! 🙄Kwa yeyote aliye mwalimu au mwenye kujua kuhusu mikopo kwa waalimu naomba kuuliza...
Je, inawezekana kukopeshwa pesa ndefu(about 60M-80M) kutoka benki(kwa udhamini wa mwajiri na mshahara ) ikiwa nipo tayari kurejesha kwa muda mrefu hata 30yrs???
Na kama inawezekana benki gani itanifaa??
Kwa kawaida unapokopa unatakiwa urejeshe basic amount ndipo uruhusiwe kukopa tena mfano ukikopa 100 million kwa miaka mitano utalipa jumla 150million. Hivyo wakishachukua 100 yao sasa unaweza kuongezea ila kabla ya hapo sahau.Vipi kuhusu kukopa tena kabla ya kumaliza deni?
Mwalimu akikopeshwa 80M ataweza kweli kurudi darasani na kufundisha? Hata kama kungekuwepo na hiyo benki, sishauri asee! Mwalimu hatakiwi kuwa mtu tajiri hata siku moja... Mwalimu ili awe mwalimu lazima aishi maisha ya kuunga unga! 🙄
Kwa kuanzia, hakuna benki inayokopesha waalimu. Ila benki karibu zote hukopesha watumishi wa serikali wakiwemo waalimu. Kiasi cha mkopo kinategemea na mshahara wa mtu. Kuna waalimu walioko H wana kipato kizuri tu na wanaweza kukopa mpa milioni thelathini. Akimaliza anakopa tena na tena mwisho wa siku atakuwa amekopa zaidi ya hizo milioni sitini.HAIWEZEKANI
SABABU
1.Benki nyingi limit yao ya muda wa kumaliza mkopo ni miaka mitano.
2.Sijawai kuona mwalimu ambae amekopa zaidi ya million 25 kwa sababu ya mishahara yao.
3.Pia mtumishi anakatwa 1/3 ya mshahara ikizidi hapo HRO anakataa wakati wa kupeleka deduction.
4.Wenye uwezo wa kukopa sana ni Wanajeshi tu maana jeshi mmoja anakopa adi million 50 peke ake. kwa sababu riba yao inakuwa chini na pia calculation zao ziko tofauti na watumishi wengine
Acha dharauMwalimu akikopeshwa 80M ataweza kweli kurudi darasani na kufundisha? Hata kama kungekuwepo na hiyo benki, sishauri asee! Mwalimu hatakiwi kuwa mtu tajiri hata siku moja... Mwalimu ili awe mwalimu lazima aishi maisha ya kuunga unga! 🙄
Haiwezekan mana wanaangalia mshahara ulionao kwa kawaida ukikopa umatakiwa ubaki na kias flan cha mshahara na sio 0 pia unapokopa million 12 unaweza kujikuta kwa mwezi wanaka sio chini ya laki 2 ila itatoka na mda utakao taka kulipa deni.Na kulimbikiza deni(kukopa tena) kabla ya kumaliza deni inawezekana?