Je kuna broker ambaye ana SPREAD chini ya 5?

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
905
Reaction score
1,002
Wakuu kuna kuna anayemjua broker ambaye anaSPREAD ndogo chini ya 5 naomba nitajie plz!
 
yoyote ile
Je kwa sasa unatumia broker yupi?
- Account type ipi kwa huyo broker?
BTW | pata spread ya 0 kwa major na cross pair kwa kutumia EXNESS broker, Ila hakikisha
  • Mataji wako ni $500
  • Na chagua Pro Account Type | Pia huwa imeandikwa ZERO pro.
 
Natumia SUPERFOREX kwahiyo bila kuwa na $500 haiwezekani?
 
Poa,
Hivi sanasana Spread ndo humsaidia scalper kupata faida?
  • Sio kweli?
  • Kinacholeta faida kwa trader wa aina yeyote yule ni Timming ya Entry & exit, Pili RR Ratio Bila kujali spread kuwa ni kubwa au ndogo.
- Chukua mfano pair GBPNZD ina spread kubwa sana, Ila wadau huwa wana scalp kama kawaida, na wanaipenda hii pair kutokana na volatility yake kuwa kubwa. The same to USDZAR, USDMXN ni pair zenye spread kubwa na volatity kubwa, hivyo scalping kama kawaida inafanyika.
  • Ninadhani hata maana ya scalping kwako ni tatizo.
  • Sababu inaonyesha hata basics za fx hujui, Ni vyema ukaanza kujifunza kwa kina, anzia Babypips, Ila kwa unachofanya sasa unapoteza muda wako na fedha.
 
Hivi kuna watu bado wanafanya haya matakataka
Kuna watu wanaendesha familia bila stress kwa hizi mambo na huwakuti wakiposti posti haya mambo... we piga kimya tu kama ulishapigwa za uso ila usikandie kwa kuwa hukujua unqchofanya
 
  • Sio kweli?
  • Kinacholeta faida kwa trader wa aina yeyote yule ni Timming ya Entry & exit, Pili RR Ratio Bila kujali spread kuwa ni kubwa au ndogo.
- Chukua mfano pair GBPNZD ina spread kubwa sana, Ila wadau huwa wana scalp kama kawaida, na wanaipenda hii pair kutokana na volatility yake kuwa kubwa. The same ton USDZAR, USDMXN ni pair zenye spread kubwa na volatity kubwa, hivyo scalping kama kawaida inafanyika.
  • Ninadhani hata maana ya scalping kwako ni tatizo.
  • Sababu inaonyesha hata basics za fx hujui, Ni vyema ukaanza kujifunza kwa kina, anzia Babypips, Ila kwa unachofanya sasa unapoteza muda wako na fedha.
Mkuu huna $500 unisaidie niwekeze kwenye crypto
 
  • Sio kweli?
  • Kinacholeta faida kwa trader wa aina yeyote yule ni Timming ya Entry & exit, Pili RR Ratio Bila kujali spread kuwa ni kubwa au ndogo.
- Chukua mfano pair GBPNZD ina spread kubwa sana, Ila wadau huwa wana scalp kama kawaida, na wanaipenda hii pair kutokana na volatility yake kuwa kubwa. The same to USDZAR, USDMXN ni pair zenye spread kubwa na volatity kubwa, hivyo scalping kama kawaida inafanyika.
  • Ninadhani hata maana ya scalping kwako ni tatizo.
  • Sababu inaonyesha hata basics za fx hujui, Ni vyema ukaanza kujifunza kwa kina, anzia Babypips, Ila kwa unachofanya sasa unapoteza muda wako na fedha.
Analipia ada mkuu
 
Analipia ada mkuu
Ni bure

Link hii hapa
Code:
https://www.babypips.com/learn/forex
1667837336879.png
 
Back
Top Bottom