Je kuna broker ambaye ana SPREAD chini ya 5?

Je kuna broker ambaye ana SPREAD chini ya 5?

Je kwa sasa unatumia broker yupi?
- Account type ipi kwa huyo broker?
BTW | pata spread ya 0 kwa major na cross pair kwa kutumia EXNESS broker, Ila hakikisha
  • Mataji wako ni $500
  • Na chagua Pro Account Type | Pia huwa imeandikwa ZERO pro.
Ila exness nimewakubali kwenye withdraw aisee!

Yani kwa njia ya card lakini ndani ya dakika 2 mzigo huu hapa!

Siyo wengine wanakukalisha na njaa siku 3 nzima!
 
Back
Top Bottom