SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Rudi MMU ukawapostie picha ya makalio kama kawaida yako!Kwà mara ya kwanza nimesoma uzi jf halafu sijaelewa chochote kile.
Ila exness nimewakubali kwenye withdraw aisee!Je kwa sasa unatumia broker yupi?
- Account type ipi kwa huyo broker?
BTW | pata spread ya 0 kwa major na cross pair kwa kutumia EXNESS broker, Ila hakikisha
- Mataji wako ni $500
- Na chagua Pro Account Type | Pia huwa imeandikwa ZERO pro.
Mkuu, mbona muogaInbox hapana.
Andika hapa hapa.
Akili za aina hii ndio takataka za kiwango cha 5G.Hii fx sio biashara ya kila mtu.Hivi kuna watu bado wanafanya haya matakataka