Uchaguzi 2020 Je, kuna chochote cha maana kilichofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano?

Uchaguzi 2020 Je, kuna chochote cha maana kilichofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano?

Chama cha Mbowe wanafiki Sana. Ilani ya chama hiki 2015,ilikuwa na kununua ndege, barabara, hospitali, elimu bure, kumtoa Babu seya, Sasa Magufuli kafanya yote leo mmekuwa ndumilakuwili. Acheni kulaghai watanzania, nia yenu mbovu tangu kuanzishwa kwa saccos yenu, Oct 28 tuna jambo letu watanzania wote wazalendo.
haikuwa kununua ndege kwa cash, haikuwa kuwa na hospital bila ya madaktari, anafanya vitu ambavyo havijui hadi anaikana ilani yake ya kuwaruhusu wajawazito kurudi shule
 
Habari za wakati huu

"Maendeleo ni hatua (Development is a Process) ambayo inalenga hasa kuhakikisha kuna kuwa na jamii bora, iliyostaarabika, yenye furaha na inayopata mahitaji yake yote ya msingi kwa haki na usawa na ambayoo inaheshimu sheria inatoa fursa sawa kwa wote na yenye amani utulivu na mshikamano"

Kwa
kuzingatia hi definition ya juu, ambayo sidhani kama kuna ambaye anapinga basi kila jambo linalofanyika lazima lilenge hapo juu kwamba liwapele watu zaidi kuelekea katika jamii yenye sifa kama au zaidi ya niliyozitaja hapo juu.

Kwa sababu Magufuli JPM amekuwa madarakani kwa takribani miaka 5 basi tumpime kwa kutumia vigezo vya msingi kwa yale aliyofanya iwpo yanatimiza vigezo vifuatavyo:
  1. Kujenga jamii bora
  2. Kujenga jamii iliyostaarabika
  3. Kujenga yenye furaha
  4. Kujenga jamii inayopata mahitaji yake yote kwa haki na usawa
  5. Kujenga jamii inayoheshimu sheria
  6. Kujenga jamii inayotoa fursa sawa kwa wote
  7. Kujenga jamii yenye amani na utulivu
  8. Kujenga jamii yenye Mshikamano
Naomba atakayejadili mada hii basi ajitahidi kuzingatia hivyo vipengele na kuonesha kwamba JPM alifanya kitu fulani ambacho kimefanya tuwe na jamii bora/iliyostaarabiak etc.

Kama unaona mada ni ngumu sio saizi yako jitahidi uiache kama ilivyo
Mimi sikioni
 
Awamu hii imegusa kundi la watu wachache kama ndo wanufaika, nashangaa Sana matahira wasemao imefanya mengi,
Maendeleo sio kondomu Hadi uzame mfukoni
 
Habari za wakati huu

"Maendeleo ni hatua (Development is a Process) ambayo inalenga hasa kuhakikisha kuna kuwa na jamii bora, iliyostaarabika, yenye furaha na inayopata mahitaji yake yote ya msingi kwa haki na usawa na ambayoo inaheshimu sheria inatoa fursa sawa kwa wote na yenye amani utulivu na mshikamano"

Kwa
kuzingatia hi definition ya juu, ambayo sidhani kama kuna ambaye anapinga basi kila jambo linalofanyika lazima lilenge hapo juu kwamba liwapele watu zaidi kuelekea katika jamii yenye sifa kama au zaidi ya niliyozitaja hapo juu.

Kwa sababu Magufuli JPM amekuwa madarakani kwa takribani miaka 5 basi tumpime kwa kutumia vigezo vya msingi kwa yale aliyofanya iwpo yanatimiza vigezo vifuatavyo:
  1. Kujenga jamii bora
  2. Kujenga jamii iliyostaarabika
  3. Kujenga yenye furaha
  4. Kujenga jamii inayopata mahitaji yake yote kwa haki na usawa
  5. Kujenga jamii inayoheshimu sheria
  6. Kujenga jamii inayotoa fursa sawa kwa wote
  7. Kujenga jamii yenye amani na utulivu
  8. Kujenga jamii yenye Mshikamano
Naomba atakayejadili mada hii basi ajitahidi kuzingatia hivyo vipengele na kuonesha kwamba JPM alifanya kitu fulani ambacho kimefanya tuwe na jamii bora/iliyostaarabiak etc.

Kama unaona mada ni ngumu sio saizi yako jitahidi uiache kama ilivyo
JPM wa wapi? Huyu mpenda wanawake weupe? Utasubiri sana. Vipengele vyote 1-8 ni msamiati kwake.
 
Ndio tunakusubiri uje ufanye maendeleo na serikali yako.
 
Mkuu,unajua tatizo hujaelewa kitu kidogo sana.Mimi nimechokoza mjadala.Definition ni yangu mimi kwa nilichojifunza kuhusu maendeleo yawe ya binafsi na hata ya taifa.Na katika kujenga hoja yangu usitishwe na kichwa cha mada kwa sababu hakilengi kusema hakuna alichofanya bali ni kuuliza tu
Wala huna haja ya kujitetea! Ukweli ni kwamba Tanzania hatuna dira ya maendeleo (dira endelevu). Kila Rais anakuja na mipango yake binafsi kulingana na utashi wake kupitia ilani za uchaguzi na akiondoka mwingine anakuja na yake. Mfano ni bandari ya bagamoyo na gesi ya Mtwara! Hapo tu ndipo tunachumsha! Kusema Lissu anadanganya watu siyo sawa, miaka 60 munaongozwa na watu wenye mtazamo ule ule mara nyingine siyo afya kiuchumi na hata kijamii. Huenda nje ya CCM wapo watu wanaoweza kututoa lkn kwa kuwa wengi wetu wanayo mawazo mgando, basi tunadhani tukikwea basi tofauti na Abood hatutaweza kufika Moro jambo ambalo siyo kweli. Majirani zetu wameweza kuchagua vyama m'badala na wametuacha mbali kimaendeleo. Tatizo letu ameshalieleza Mzee Butiku "WOGA WAKUJITAKIA"!! Watz tuna hofu kuu ambayo haina sababu kuwepo!
 
Back
Top Bottom