Uchaguzi 2020 Je, kuna chochote cha maana kilichofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano?

haikuwa kununua ndege kwa cash, haikuwa kuwa na hospital bila ya madaktari, anafanya vitu ambavyo havijui hadi anaikana ilani yake ya kuwaruhusu wajawazito kurudi shule
 
Mimi sikioni
 
Awamu hii imegusa kundi la watu wachache kama ndo wanufaika, nashangaa Sana matahira wasemao imefanya mengi,
Maendeleo sio kondomu Hadi uzame mfukoni
 
JPM wa wapi? Huyu mpenda wanawake weupe? Utasubiri sana. Vipengele vyote 1-8 ni msamiati kwake.
 
Huwezi waletea watu maendeleo kwa kuwasomesha namba
 
Ndio tunakusubiri uje ufanye maendeleo na serikali yako.
 
Wala huna haja ya kujitetea! Ukweli ni kwamba Tanzania hatuna dira ya maendeleo (dira endelevu). Kila Rais anakuja na mipango yake binafsi kulingana na utashi wake kupitia ilani za uchaguzi na akiondoka mwingine anakuja na yake. Mfano ni bandari ya bagamoyo na gesi ya Mtwara! Hapo tu ndipo tunachumsha! Kusema Lissu anadanganya watu siyo sawa, miaka 60 munaongozwa na watu wenye mtazamo ule ule mara nyingine siyo afya kiuchumi na hata kijamii. Huenda nje ya CCM wapo watu wanaoweza kututoa lkn kwa kuwa wengi wetu wanayo mawazo mgando, basi tunadhani tukikwea basi tofauti na Abood hatutaweza kufika Moro jambo ambalo siyo kweli. Majirani zetu wameweza kuchagua vyama m'badala na wametuacha mbali kimaendeleo. Tatizo letu ameshalieleza Mzee Butiku "WOGA WAKUJITAKIA"!! Watz tuna hofu kuu ambayo haina sababu kuwepo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…