Je, kuna dawa ya asili ya Inguinal Hernia?

Je, kuna dawa ya asili ya Inguinal Hernia?

HATSA

New Member
Joined
May 12, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Nasumbuliwa na tatizo la utumbo mdogo kushuka hadi katika pumbu, lakini kama niki lala chali naweza kuurudisha.

Natumia kuvaa mkanda sehemu hii ili kuzuia utumbo kutoka pale ninapokuwa natembea kwa mguu au nimesimama.

Naomba kuelekezwa dawa ya asili inayoweza kutatua tatizo hili. nawatakia kila la heri.
 
Back
Top Bottom