Hata mimi mtoto wangu anatatizo wa miaka 3 anatatizo hilo vipe vidogovidogo vinalundikana sana, kuna sabuni sikumbuki jina anaogea na anapaka Candiderm Cream uwezo wake ni Steroid, Antibiotic, Antifungal. Ila haijamsaidia bado kaka yake alitumia ilimfaa sana, ngoja tusubiri michango ya wadau.