Je ? Kuna dawa ya vipele vya joto

Je ? Kuna dawa ya vipele vya joto

Msingi_Mbio

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
336
Reaction score
44
Mtoto wangu ana umri wa miaka miwili na ametoka vipele vya joto mwilini kiasi kwamba inabidi ashinde bila nguo na kulala bila nguo ila naona vipeleb vyenyewe haviiShi je kuna dawa yake ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hata mimi mtoto wangu anatatizo wa miaka 3 anatatizo hilo vipe vidogovidogo vinalundikana sana, kuna sabuni sikumbuki jina anaogea na anapaka Candiderm Cream uwezo wake ni Steroid, Antibiotic, Antifungal. Ila haijamsaidia bado kaka yake alitumia ilimfaa sana, ngoja tusubiri michango ya wadau.
 
Back
Top Bottom