Je, kuna dhambi kubwa na ndogo?

Je, kuna dhambi kubwa na ndogo?

ts9_dna

Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
33
Reaction score
121
Bado najaribu kujiuliza mtu aliyeuwa maksudi kabisa mfano hao mafreemason na mtu aliyeiba machungwa mawili akiwa na njaa wote watahukumiwa sawa mbele za bwana kama iwapo hawatatubu?? Kumbuka Amri zinasema kuiba na kuua zote ni dhambi .
 
Narudia swali, aliyemkana Mungu na kujiunga na freemason na Mimi ambaye sijaishika kitakatifu siku ya Mungu wote tunaenda motoni?
 
Back
Top Bottom