T ts9_dna Member Joined Jun 9, 2023 Posts 33 Reaction score 121 Oct 26, 2023 #1 Bado najaribu kujiuliza mtu aliyeuwa maksudi kabisa mfano hao mafreemason na mtu aliyeiba machungwa mawili akiwa na njaa wote watahukumiwa sawa mbele za bwana kama iwapo hawatatubu?? Kumbuka Amri zinasema kuiba na kuua zote ni dhambi .
Bado najaribu kujiuliza mtu aliyeuwa maksudi kabisa mfano hao mafreemason na mtu aliyeiba machungwa mawili akiwa na njaa wote watahukumiwa sawa mbele za bwana kama iwapo hawatatubu?? Kumbuka Amri zinasema kuiba na kuua zote ni dhambi .
berylyn JF-Expert Member Joined Dec 26, 2021 Posts 877 Reaction score 2,618 Oct 26, 2023 #2 Narudia swali, aliyemkana Mungu na kujiunga na freemason na Mimi ambaye sijaishika kitakatifu siku ya Mungu wote tunaenda motoni?
Narudia swali, aliyemkana Mungu na kujiunga na freemason na Mimi ambaye sijaishika kitakatifu siku ya Mungu wote tunaenda motoni?