Je, kuna dini inakataza kubeti? Kama ipo waumini wake watakubali kutibiwa kwa kodi za betting? Kwanini wasitumie kwa mapato ya madini?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Tumeanzisha mfuko wa kuchangia bima ya afya chanzo cha mapato yake ni kubeti.

Ni kweli kwamba wanaobeti wengi wana matatizo ya akili na hivyo kuwawekea kiasi cha fedha zao kwenye matibabu ya afya zao ni jambo jema.

Ni kweli kwamba wanaobeti wengi ni jobless hivyo kupata fedha za kujitibu ni kazi sana

Ila sasa kama mfuko huu itahudumia wote hata wasiopenda kubeti na wenye imani hasi juu ya kubeti, je watakubaliana na hali hiyo?
 
Maisha ya Tanzania kwanzia kilimo ,ambacho wanadai ni uti wa mgongo ni kubeti.
 
Nadhan kwa ajili ya aman na mshikamano si vema kugusa hoja zinazogusa dini
 
Tumeanzisha mfuko wa kuchangia bima ya afya chanzo cha mapato yake ni kubeti.

Ni kweli kwamba wanaobeti wengi wana matatizo ya akili na hivyo kuwawekea kiasi cha fedha zao kwenye matibabu ya afya zao ni jambo jema.

Ni kweli kwamba wanaobeti wengi ni jobless hivyo kupata fedha za kujitibu ni kazi sana

Ila sasa kama mfuko huu itahudumia wote hata wasiopenda kubeti na wenye imani hasi juu ya kubeti, je watakubaliana na hali hiyo?
Inawezekana ulichosema uko sahihi,ila mbona pombe nazo zinachangia mapato vp na zenyewe wasuse huduma zinazotokana na mapato yake?
 
Dini zoote zinakataza kubeti kubeti ni haramu ni jambo baya inaleta umaskini
 
Back
Top Bottom