Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Aje nimtolee mzigo wake
wakala nakuona unavyovutia ugali kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakala nakuona unavyovutia ugali kwako
Sheria mpya imetoka lini
Ngoja nikusaidie wasikutishe, cha msingi andaa elfu 50 ya kuLog In Tancis, wewe nenda kampuni ya clearing and forwarding waombe uwalipe hiyo hela wata log in kisha utasubiria karatasi ya makadirio toka tra, utaenda lipia ila pia lazima ujue gari itakuja kwa meli ipi, ukiijua meli beba hela yako kama dollars 15-25 hivi, utalipia hapo, kisha utaenda kwa kampuni ya clearing uta log in, utapata reference number ukiwa unasubiria karatasi ya tra mtandaoni ukizipata, utaenda lipia benk, pale bandarini tafuta reflector unazamia tena pita geti no 2(omba wale askari tu kuwa unaenda kula pale kwenye mghahawa kisha huyo unaenda pale kwenye jengo lao utaona agents kibao wamezagaa nje na reflectors zao ukitaka kuoita geti no 1 utafeli) kupeleka ili nao waLog In utakaa kusubiria ila tu uwe na subira, kuhusu gharama za bandarini hazifiki laki 3, wewe komaa tu mimi nilitoa gari pale kibishi, hawa maajent wazinguaji tu, jamaa alitaka mil 1 atoe gari mbali ya kodi wakati nikalipa laki 2 naa... nikalitoa.Kwani bandarini wanaingia watu wa aina gani
Unaumwa wewe. Nani amekuambia hii kitu kama unaweza fanya mwenyewe. Una kibali cha kuingia bandarini??. Unajua DO. Unajua Shipping line?. Baba hii kazi huwezi fanya. Tafuta Agent
Kwa kutumia hiyo link mfano wa gari la mwaka 2007 na cc 2400 ni Tzs 12,570,141.84, actual gharama inaweza kuwa Tzs ngapi? Natanguliza shukran.Mara nyingi haiwi tofauti sana na ile wanayokupa TRA kwenye assessment yao.
Kwa kutumia hiyo link mfano wa gari la mwaka 2007 na cc 2400 ni Tzs 12,570,141.84, actual gharama inaweza kuwa Tzs ngapi? Natanguliza shukran.
Muombe radhi mkuu kwa kumbwatukia wakati wewe ndio hujui. [emoji35]
Hahahaha eti mguu kwa mguu jmn kuliwa Bandar in ni kawaida sanaaaKwa hiyo unapomtumia agent yeye ndio atafanya clearances zote au lazima twende wote mguu kwa mguu?
Yaani kwa mfano Kama total cost ya TRA,TPA na Agent fee ni 5m hizi pesa zote nampa Agent akanilipie au naenda kulipa mwenyewe?
Na hao agents ofisi zao zipo wapi?
[emoji122][emoji122]Mkuu haitacheza mbali na hapo, kuna factors/ vigezo vyao wanavitumia. Hii ni indicative tu. 2007 gharama imekua kubwa kutokana na uchakavu.
Hahahaha eti mguu kwa mguu jmn kuliwa Bandar in ni kawaida sanaaa
Ahsante kwa maelezo yakoNgoja nikusaidie wasikutishe, cha msingi andaa elfu 50 ya kuLog In Tancis, wewe nenda kampuni ya clearing and forwarding waombe uwalipe hiyo hela wata log in kisha utasubiria karatasi ya makadirio toka tra, utaenda lipia ila pia lazima ujue gari itakuja kwa meli ipi, ukiijua meli beba hela yako kama dollars 15-25 hivi, utalipia hapo, kisha utaenda kwa kampuni ya clearing uta log in, utapata reference number ukiwa unasubiria karatasi ya tra mtandaoni ukizipata, utaenda lipia benk, pale bandarini tafuta reflector unazamia tena pita geti no 2(omba wale askari tu kuwa unaenda kula pale kwenye mghahawa kisha huyo unaenda pale kwenye jengo lao utaona agents kibao wamezagaa nje na reflectors zao ukitaka kuoita geti no 1 utafeli) kupeleka ili nao waLog In utakaa kusubiria ila tu uwe na subira, kuhusu gharama za bandarini hazifiki laki 3, wewe komaa tu mimi nilitoa gari pale kibishi, hawa maajent wazinguaji tu, jamaa alitaka mil 1 atoe gari mbali ya kodi wakati nikalipa laki 2 naa... nikalitoa.
Komaaa
Ni kweli mkuu lazima uzijue kila hatua ili usije ukaachwa ferry,halaf baadae ukaja kuanzisha uzi wa vishoka wa bandari[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kauliza swali la msingi sana [emoji3][emoji3]
Ngoja nifanye mchakato nimepata ndugu wa kuniongoza nikifanikiwa nitaleta mrejesho hapa
Import dutyMawakala lazima wakupige kwa kusingizia storage
NIPO HAPA NASUBIRIA MWONGOZO!!!
Samahani mkuu hivi km nimeagiza gari alafu tin ninayoitumia ina madeni kadhaa ya nyuma sikulipia ya biashara zingine...Hapana mkuu, ni uamuzi wako tu. Gari ikishapakiwa kwenye meli, kuna zile documents na waybill zinatumwa. Unaanza mchakato wa kufanyiwa makadirio ya malipo yako. Hapo itatumika TIN number yako na Kitambulisho cha taifa.
Utapatiwa invoice yenye control number na gharama unazotakiwa kulipa. Unaweza kulipia bank, hapo nashauri kytumia CRDB kwa vile inawahi kuonyesha malipo yamefanyika kwenye mfumo wa TRA, baada ya hapo mtaanza mambo ya TPA sasa wharfage,na takataka ndogondogo na ada yake ya uagent hizo wanakupa wao invoice unawalipa.
Ma agent wapo wengi sana, ni vizuri kujiridhisha na ufanisi na umakini wa agent, anaweza kukucheleweshea mzigo ukaingia gharama za kuhifadhiwa mzigo bandarini.
Lakini akiwa anaielewa kazi yake, meli inaweza shusha gari ikakaa siku moja tu kesho yake iko barabarani.
Kwa ufupi ni makubaliano yenu. Anaweza kufanya kila kitu akakupa tu invoice ya ujumla au ukalipia mwenyewe hasa TRA na TPA akishakupatia control number.