Je Kuna haja Office ya Mashtaka kutangazwa persona non-gratia?

Kiboko ya Mazwazwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2026
Posts
1,802
Reaction score
3,271
Wadau doctrine ya persona non-gratia inamaanisha kuwa ofisa wa kidiplomasia mfano Balozi anapokuwa anawakilisha Nchi flani, Nchi hiyo inaweza kumtangaza kuwa ni mtu asiyefaa kuwa kwenye office husika kutokana na mienendo ya hovyo ambayo anakuwa ameionyesha.

Sasa kutokana na matendo ya kudharau amri za Mahakama ambayo mawakili wa Serikali wamekuwa wakiyaonyesha kwenye Kesi ya NGULI wa Sheria Mh. Lissu je Kuna haja Office ya Mashtaka kutangazwa rasmi persona non-gratia?

Naomba majibu yenu wakuu. Angalizo Mazwazwa ya ccm ambayo ni mapunguwani hayapaswi kuja kwenye Uzi huu maana ni nje ya uwezo wao.
 
Wanajua kabisa kuwa mfumo unawalinda ndio maana wanajifanya vichwa ngumu mbele ya mahakama kwenye kesi ya Mh. Lissu. Hawa watu hawapaswi tu kuonekana hawafai, bali wanatakiwa kuwekwa kwenye blacklist ya wanasheria walioharibu tasnia ya sheria nchini.
 
Wadau doctrine ya persona non-gratia inamaanisha kuwa ofisa wa kidiplomasia mfano Balozi anapokuwa anawakilisha Nchi flani, Nchi hiyo inaweza kumtangaza kuwa ni mtu asiyefaa kuwa kwenye office husika kutokana na mienendo ya hovyo ambayo anakuwa ameionyesha.

Sasa kutokana na matendo ya kudharau amri za Mahakama ambayo mawakili wa Serikali wamekuwa wakiyaonyesha kwenye Kesi ya NGULI wa Sheria Mh. Lissu je Kuna haja Office ya Mashtaka kutangazwa rasmi persona non-gratia?

Naomba majibu yenu wakuu. Angalizo Mazwazwa ya ccm ambayo ni mapunguwani hayapaswi kuja kwenye Uzi huu maana ni nje ya uwezo wao.
Ni mali ya CCM.
 
Back
Top Bottom