FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Jibu hoja tuUmri wako?
Elimu yako?
Market segmentation kila mtu atapata anachostahili bila kujali level ya teknolojia. VIP ukienda chooni unachambia App za playstore au mikono yako?Jibu hoja tu
Hahahaha....... JF raha sana.Market segmentation kila mtu atapata anachostahili bila kujali level ya teknolojia. VIP ukienda chooni unachambia App za playstore au mikono yako?
Daah siku zote nilikua najua hii ni ID moja.,basi sawa.Kwa kuwa namba za simu zote zinaelekea kusajiliwa kwa alama za vidole na matumizi ya simu janja yakiwa yanaongezeka kwa kasi, nadhani ni wakati muafaka sasa kuacha kutumia S.L.P na badala yake namba za simu za mkononi na barua pepe (email) zikawa ndio identity kuu ya namba za mawasiliano, ambapo barua zote zitakuwa zinatumwa kwa email au sms..., nadhani kuendelea kuwa na masanduku ya posta ni upotevu wa rasilimali (redundant system).
Umri wako?
Elimu yako?
Sijazungumzia kampuni ya posta, nimeongelea visanduku vya barua.Mkuu una taarifa posta hawasafirishi barua tu?!
Jibu hojaMarket segmentation kila mtu atapata anachostahili bila kujali level ya teknolojia. VIP ukienda chooni unachambia App za playstore au mikono yako?
Exactly, tuachane na S.L.P kuwa hitaji muhimu la kujaza adress ya kampuni /individual. Pia Posta waache kuchezea pesa kumaintain hivyo visanduku.Mbona hua twaweka Electronic - Mail
Hakuna haja just weka namba yako ya WhatsApp na IG usernameKwa kuwa namba za simu zote zinaelekea kusajiliwa kwa alama za vidole na matumizi ya simu janja yakiwa yanaongezeka kwa kasi, nadhani ni wakati muafaka sasa kuacha kutumia S.L.P na badala yake namba za simu za mkononi na barua pepe (email) zikawa ndio identity kuu ya namba za mawasiliano, ambapo barua zote zitakuwa zinatumwa kwa email au sms..., nadhani kuendelea kuwa na masanduku ya posta ni upotevu wa rasilimali (redundant system).
Huna hoja Bali virojaJibu hoja
Ukitumiwa kifurushi si unaletewa nyumbani kwako kwa kuweka adress ya mtaa na namba ya nyumba pamoja na namba ya simu ili akifika akupigie? Sasa kisanduku cha posta (S.L.P) cha kazi gani?Mimi nilijua utapendekeza ishu ya postcode na namba za nyumba(house number) ziboresheshwe zaidi.
Mtu akitumiwa kifurushi atakipataje