FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
- Thread starter
-
- #21
1.) Kisa nchi zilizoendelea wanafanya / hawafanyi kitu fulani isiwe baseline ya sisi kufanya au kutofanya maana mazingira yanatofautiana, ndio maana kule ushoga umeruhusiwa na huku umeharamishwa, ni suala la kujenga hoja tu.FRANCIS DA DON
Nchi zilizoendelea bado wanatumia masanduku ya posta kupata na kutuma barua.
Jiulize wito wa kuitwa kortini na majibu yake utatumia WhatsApp au email. Barua ya matibabu toka hospitali ya Rufaa au kuipeleka utatumia WhatsApp au baruapepe.
Online shopping inazidi kukua sasa wakitaka kuwasilisha mzigo au kifurushi itabidi wasitoe huduma za mlango kwa mlango kupitia SLP au ZIP / Post Code. Hivyo Tanzania itashindwa kupanua soko la online shopping and home delivery.
Si ajabu tunajazana ofisi za Uhamiaji , kadi ya mpiga kura, halmashauri , wilaya , ardhi n.k kufuata passport, nyaraka, kadi, leseni kwa vile hatuoni umuhimu wa SLP.
Kuna mifano lukuki ya umuhimu wa SLP ndiyo maana nchi za Kaskazini bado wanatumia sana barua pamoja na wao kuwa wapo mbele zaidi ktk teknolojia ya mawasiliano na habari pamoja na simu janja.
Siku hizi laini za simu zote zimesajiliwa kwa alama za vidole, kwani akiiba simu anakata na kidole chako gumba? Ni kwamba utawekwa utaratibu wa kuverify kama ni wewe kweli kwa kuweka fingerprint ndio tujue ni wewe..Ukiagiza mzigo alibaba au kwingineko lazima uandike sanduku la posta kwakuwa ni rahisi zaidi kukutres kuliko whatsapp. Jiulize ukiweka namba ya whatsap (tuchukulie inakubalika) halafu bahati mbaya mtu mwovu akashika simu yako na kugundua mzigo wwnye thamani unakuja na uthibitisho ni simu yako, hawezi kucheza na system (ujue tanzania umakini kwenye biashara ni kidogo sana hasa suala la usalama wa mali) na akakuzunguka?
Fafanua hoja yako ueleweke, sio utake kututisha na acronyms ambazo hatujawaji hata kuzisikiaFuatilia NSA na GCHQ wanachowafanyia mataifa washirika ndo utajua umuhimu wa kurudi kwenye hizi system za mawasiliano zinazoonekana zimepitwa na wakati
Mkuu kumbuka nimekujibu kama ulivyouliza kwenye swali la msingi kuhusu kutotumia au kuendelea kutumia slp.Siku hizi laini za simu zote zimesajiliwa kwa alama za vidole, kwani akiiba simu anakata na kidole chako gumba? Ni kwamba utawekwa utaratibu wa kuverify kama ni wewe kweli kwa kuweka fingerprint ndio tujue ni wewe..
1.) Kisa nchi zilizoendelea wanafanya / hawafanyi kitu fulani isiwe baseline ya sisi kufanya au kutofanya maana mazingira yanatofautiana, ndio maana kule ushoga umeruhusiwa na huku umeharamishwa, ni suala la kujenga hoja tu.
2.) Kama laini za simu zimesajiliwa tena kwa alama za vidole, kuna tatizo gani endapo wito wa korti au rufaa za hospitali zikatumwa kwa email (barua pepe), whatsapp, sms nk.? Why not?! Why the hell not??!!!
3.) Hivi ukifanya shopping online unalazimika kutoa namba ya kisanduku cha posta ili kuletewa huduma mlangoni kwako, jamani, si unawapa tu adress ya mtaa uliopo pamoja na namba yako ya simu ili akifika akupigie, nimeshanunua saa online mara nyingi sana na nawapa tu jina mtaa niliopo pamoja na namba yangu ya simu, naipta kiulaini kabisa..!!
4.) Ndugu, i assure you ni rahisi kufuata nyaraka kama leseni nk. kwenye ofisi husika kuliko kuisubiri iletwe kwenye kisanduku cha posta, isipopotea basi jua itachelewa mno, kama huamini, jaribu halafu lete mrejsho hapa, maana utapiga ruti za kwenda ofisi ya posta hata mara 10 na usijue kinakuja lini, ila ukienda ofisi husika wanakupatia papo hapo na kuondoka, sasa ipi bora?! Tumia akili basi hata kidogo tu, vipi wewe??!!!
Halafu mods hiki kiherehere cha kuweka majibu on top kwenye nyuzi za watu wakati majibu yenyewe ni upuuzi tu mnajidhalilisha bure tu, natoa sasa hilo jibu, uzi si wangu..
Swali la pili lipi? Si nimejibu hoja uliyoleta juu ya hoja? Kuhusu gharama za kufunga mifumo ya utambuzi ni swala ambalo haliepukiki, kwani kusajili laini za simu kwa alama za vidole halikuwa na gharama? Maendeleo yana gharama. Suala la changamoto za usalama zipo, suala ni kuboresha mifumo iwe salama zaidi.Mkuu kumbuka nimekujibu kama ulivyouliza kwenye swali la msingi kuhusu kutotumia au kuendelea kutumia slp.
Kuhusu swali la pili nikuulize kabla ya jibu. Nani atakuwa anapokea huo mzigo kama mbadala wa posta (achana na dhl ama njia binafsi.) Itabidi serikali ifunge mfumo wa utambuzi katika ofisi nyingi sana suala ambalo litaipa serikali mzigo mkubwa. Iwapo wataruhusu kampuni binafsi zifanye hii kazi, huoni kama kutakuwa na wizi wa taarifa za kiusalama kwa wananchi? Maana suala la fingerprints tunalichukulia kawaida sana as if halihusiki na usalama wetu kiasj cha kuacha kila mwenye uwezo wa kukusanya hizo alama afanye atakavyo.
Kwanini mtu usisubiri nilijibu hilo linalodaiwa kuwa ni jibu ili tuone kama linafaa kuwekwa ontop?Sasa ww si umeuliza swali? Unahitaji majibu? Katika majibu yote ilo la bagamoyo ndio linejibu moja kwa moja ndio mana wamelipin juu ili kula mtu alipitie
Sent using Jamii Forums mobile app
FRANCIS DA DON
Nchi zilizoendelea bado wanatumia masanduku ya posta kupata na kutuma barua.
Jiulize wito wa kuitwa kortini na majibu yake utatumia WhatsApp au email. Barua ya matibabu toka hospitali ya Rufaa au kuipeleka utatumia WhatsApp au baruapepe.
Online shopping inazidi kukua sasa wakitaka kuwasilisha mzigo au kifurushi itabidi wasitoe huduma za mlango kwa mlango kupitia SLP au ZIP / Post Code. Hivyo Tanzania itashindwa kupanua soko la online shopping and home delivery.
Si ajabu tunajazana ofisi za Uhamiaji , kadi ya mpiga kura, halmashauri , wilaya , ardhi n.k kufuata passport, nyaraka, kadi, leseni kwa vile hatuoni umuhimu wa SLP.
Kuna mifano lukuki ya umuhimu wa SLP ndiyo maana nchi za Kaskazini bado wanatumia sana barua pamoja na wao kuwa wapo mbele zaidi ktk teknolojia ya mawasiliano na habari pamoja na simu janja.
75% ya eneo la nchi hii halijapimwa. Hiyo namba ya nyumba unaitoa wapiUkitumiwa kifurushi si unaletewa nyumbani kwako kwa kuweka adress ya mtaa na namba ya nyumba pamoja na namba ya simu ili akifika akupigie? Sasa kisanduku cha posta (S.L.P) cha kazi gani?
Hata na jina la mtaa au barabara kuu ya eneo hilo inatosha, maana si umeshawapa namba ya simu na akifika huo mtaa/ barabara si anakupigia simu?75% ya eneo la nchi hii halijapimwa. Hiyo namba ya nyumba unaitoa wapi
75% ya eneo la nchi hii halijapimwa. Hiyo namba ya nyumba unaitoa wapi
Kuwa serious mkuu. Yaani mtu achome mafuta mpaka huku nyantira aanze kuulizia njia? Hizo gharama za usafiri nani analipa? Wakati technology kwa wenzetu inapunguza gharama na kuongeza ufanisi, kwetu technology inapunguza ufanisi na kuongeza gharama. Kitu pekee ambacho waafrika tunafanya bila kukosea hata kidogo ni kwenye daftari la wapiga kura (kadi inakuwa tayari ndani ya dakika 5)Hata na jina la mtaa au barabara kuu ya eneo hilo inatosha, maana si umeshawapa namba ya simu na akifika huo mtaa/ barabara si anakupigia simu?
Ndio kama wadau walivyoshauri, tuboreshe na kurasimisha coding za mitaa na nyumba.Kuwa serious mkuu. Yaani mtu achome mafuta mpaka huku nyantira aanze kuulizia njia? Hizo gharama za usafiri nani analipa? Wakati technology kwa wenzetu inapunguza gharama na kuongeza ufanisi, kwetu technology inapunguza ufanisi na kuongeza gharama. Kitu pekee ambacho waafrika tunafanya bila kukosea hata kidogo ni kwenye daftari la wapiga kura (kadi inakuwa tayari ndani ya dakika 5)
[emoji769]Posta wafanyakazi, Posta asilimia 95 ni umri wa 56, Sasa unaanzaje kumtuma mtu wa umri huoNadhani posta wangerasimisha anwani za makazi mijini na anwani za vijijiji ili waTZ wawe wanapokea barua na vifurushi moja kwa moja nyumbani! Itarudisha tena ari ya utumiaji wa posta.
Hawajawa creative vyakutosha naona
wazo lako ni zuri sana lakini pamoja na ukuaji wa teknolojia duniani, visanduku vya posta hata europe vipo na vinatumika.1.) Kisa nchi zilizoendelea wanafanya / hawafanyi kitu fulani isiwe baseline ya sisi kufanya au kutofanya maana mazingira yanatofautiana, ndio maana kule ushoga umeruhusiwa na huku umeharamishwa, ni suala la kujenga hoja tu.