FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
- Thread starter
-
- #61
Sijaelewa, kwamba waziri hana email?Hajakutana na changamoto,juzi Kuna barua ilikuwa unaenda kwa waziri flani,kila muhudumu anayepewa anaikataa!Kwa kuwa Jamaa aliandika S.L.P,akaona usiwe tabu akaitumbukiza posta na ikafika kwa waziri bila shida!
Barua ya wizarani sio personal issue.Sijaelewa, kwamba waziri hana email?
Pia kuna waajiri wanataka barua iliyoandikwa kwa mkono , kupitia posta, Kwa kifupi ssnduku la posta Lina umuhimu wake pia!Barua ya wizarani sio personal issue.
Sawa na magazeti , pamoja na kusoma mtandaoni,watu wanayanunua pia na pamoja na kuangalia tv Bado wananunua!Pia kuna waajiri wanataka barua iliyoandikwa kwa mkono , kupitia posta, Kwa kifupi ssnduku la posta Lina umuhimu wake pia!
Ahaa, wizara haina email sivyo?Barua ya wizarani sio personal issue.
Kununua gazeti huku una smartphone ni aina moja wapo ya utaahira jadidifuSawa na magazeti , pamoja na kusoma mtandaoni,watu wanayanunua pia na pamoja na kuangalia tv Bado wananunua!