Je!! Kuna haja ya kumfata mumewe kituo kipya cha kazi??

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,130
Mume na mke wana watoto 3, hawana maelewano mazuri kama mwaka hv ilipelekea kulala kilamtu chumba chake,,,
Sasa mwanaume kapata uhamisho kazini anahamia mkoa mwingine bidada ndio anaomba ushauri kuna haja ya kuhama wote??? Au amuache tu jamaa aende yeye abaki na watoto maana pia wamejenga + hawana maelewano mazuri
 
Kama anampenda
 
Mimi mbona siwezi kukaa nyumba mpya bila mke na siwezi kuzini malaya wana pepo chafu, mke ana umuhimu wake katika maisha yake mwanaume....wewe bi-mkubwa kama umemchoka mueke wazi apate mgine fresh, usitimie uhamisho kutimiza malengo yako.
 
Mume na mke wana watoto 3, hawana maelewano mazuri kama mwaka hv ilipelekea kulala kilamtu chumba chake,,,
Sasa mwanaume kapata uhamisho kazini anahamia mkoa mwingine bidada ndio anaomba ushauri kuna haja ya kuhama wote??? Au amuache tu jamaa aende yeye abaki na watoto maana pia wamejenga + hawana maelewano mazuri
Ahamie kwangu
 
Asubiri kwanza muda upite mpaka wamalize gubu zao... Watakapoanza kumisiana tena hapo ndo utakuwa muda muafaka wa kumfata mumewe...

Pia akae kwa kujiandaa, inaweza kuwa tiketi ya kumfanya mumewe aoe tena, na swala la kumfata huko uhamishoni likafia hapo!

Kwahiyo kupanga ni kuchagua na machaguo huja kadri ya unavyomfahamu mtu wako
 
Mume na mke wana watoto 3, hawana maelewano mazuri kama mwaka hv ilipelekea kulala kilamtu chumba chake,,,
Sasa mwanaume kapata uhamisho kazini anahamia mkoa mwingine bidada ndio anaomba ushauri kuna haja ya kuhama wote??? Au amuache tu jamaa aende yeye abaki na watoto maana pia wamejenga + hawana maelewano mazuri
Mkuu wewe jiseme tu hakuna anae kujua humu
 
Back
Top Bottom