Je, kuna haja ya kuwa na timu ya Taifa Stars?

Je, kuna haja ya kuwa na timu ya Taifa Stars?

Michezo ni afya na Uganda wanazingatia sana huu usemi hawako tayari kupoteza afya kisa Taifa Stars.
 
Kabla ya vyama vingi hao wenye vipaji waliifanyia nini Tz? Wewe ni mmoja wa hao wachawi wanaoconnect kila kitu na siasa.
Wakati huo ndio siasa ilikua Ni kila kitu na hapo ndipo tulipoanzia ugonjwa huo wa kuweka Kula kitu chini ya Chama.

Ni wakati wa kuweka siasa za vyama Pembeni na kujenga Taifa .

Unakurupuka bila kujua kuwa wanasiasa sasa hivi wanaanzisha michezo majimboni mwao kwa itikadi za vyama?
Utapataje vipaji vya mpira hapo?
Kuwa mkweli ili tujenge Taifa. Wakurugenzi angalau miaka ya nyuma walikua hawajionyeshi wazi kuwa kuwa makada na hao ndio wenye idara za michezo huko mawilayani na vijijini.
Jiulize wanafanya juhudi gani za kukuza michezo na kuibua vipaji?
Unategemea kwa siasa tuliyo nayo sasa na wakurugenzi na maDC tulio nao kwa mfano ikitikea mtoto wa Zito Kabwe kule Kigoma akawa na kipaji cha Mpira Shuleni halafu akawa kivutio cha wananchi wa Kigoma atapongezwa na DC?
Atapata sapoti ya kiserikali? Atatangazwa na vyombo vya habari kama TBC na Uhuru?
Mimi ni mzalendo halisi na naipenda serikali yangu kwa dhati ndio maana nasema kuwa siasa inavuruga kila sekta na kuua vipaji mpaka kwenye michezo.
 
Ni aibu kubwa kwa nchi kubwa kama Tanzania kushindwa kufurukuta katika mchezo wa mpira wa miguu...
USHAURI.
Wachukuliwe mamiss Tanzania wa kuanzia ngazi zote... kisha tuongee na akina gaucho, ronaldo na wengineo kisha mamiss hao wadungwe mimba na hao wabrazil kisha tuje tuzilee mimba watoto wakikua hatuwezi kukosa watu kumi na moja wa kuunda timu ya taifa
Nawasilisha
 
Mkuu unasema tukifundishwa tunafundishika.

Wakati team ya taifa imechukua wachezaji wawili watatu kutoka visiwani.

Huku ball nature sema tu bara wanatubania sana ndio maana tukapokonywa uanachama CAF.
Namaanisha ni maeneo ambayo watu wake wakiamua kufanya jambo moja wanalifanya kwa ufanisi hasa wanapoona kuwa ni jambo lenye manufaa ya kipato.
 
Ni aibu kubwa kwa nchi kubwa kama Tanzania kushindwa kufurukuta katika mchezo wa mpira wa miguu...
USHAURI.
Wachukuliwe mamiss Tanzania wa kuanzia ngazi zote... kisha tuongee na akina gaucho, ronaldo na wengineo kisha mamiss hao wadungwe mimba na hao wabrazil kisha tuje tuzilee mimba watoto wakikua hatuwezi kukosa watu kumi na moja wa kuunda timu ya taifa
Nawasilisha
Hata hilo halitawezekana chini ya Makaburi Weusi CCM. CCM ndio Mchawi wa maendeleo nyanja zote Nchini.
 
Mi huwa najiuliza sana, inakuwaje tunakosa watu wanaojua kucheza mpira vizuri kama kwa wenzetu? Timu yetu ya Taifa kufungwa ni kawaida, vilabu vikienda nje, ni kufungwa tu, mbona majirani zetu au nchi za Afrika magharibi zinafanya vizuri, kwann tusiende kujifunza wanavyofanya? Tujue wanakula nn, wanafanya mazoezi gani, wafundishwa nn! Kama kuna kizazi maalum cha mpira, basi tupeleke dada zetu huko wakatiwe mimba waje watuzalie hicho kizazi na huku tupate wachezaji!!
Tuanze na dada zako kwanza...
 
Unajua soka letu limetawaliwa na siasa.
Kuna Timu zimeundwa kisiasa kabisa. Sasa unategemea nini?
Hapo wanasiasa ndao wanaoharibu kila kitu kwenye nchi hii kwa sababu tu wameshindwa kulifanya taifa liwe moja.
Uchama umekua ni kitu cha muhimu sana kwa wanasiasa kuliko utaifa.

Siku mavyama haya yakisiasa yatakapokufa na kuzaliwa mengine itakua ndiyo siku nchi hii itakua na maono kwenye kila kitu na kufanikiwa.
Sera ya michezo iko kisiasa. Waziri wa michezo yupo kichama chama na anawaza chama chake tu na kupata umaarufu. Kazi yake imekua kutunga sheria tu kandamizi badala ya kutumia zile zilizopo kuja na ubunifu wa namna ya kujenga soka na michezo kwa ujumla akishirikiana na waziri wa Elimu badala yake ni matamko tu yasiyoisha.
Wanasiasa(ccm) wangekuwa wanapitia humubwangejifunza mengi sana.
 
Sijui hata kilichompeleka Maseru huyo Mwakyembe ni kufanya nini? Kati ya vitu vilivyotuletea mkosi ni kuwepo kwa huyu bwana uwanjani.
 
Sijui hata kilichompeleka Maseru huyo Mwakyembe ni kufanya nini? Kati ya vitu vilivyotuletea mkosi ni kuwepo kwa huyu bwana uwanjani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tatizo la Mwakyembe na wengine wanaofeli sana kwenye ujenzi wa Taifa pamoja na kuwa na akili nyingi na elimu ya kutosha ni kufanya kila wasicho kiamini.
Matendo yao ya nje ni tofauti na kile kilichoko akilini mwao, nafsini mwao na mioyoni mwao na walichokidoma na hata kukifundisha.
 
Back
Top Bottom