Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wanachuo wengi wanasoma kwa kutegemea ufadhili wa kutoka sehemu mbalimbali, inawezakuwa kwa: serikali, shirika, chuo, familia n.k
Gharama za kusoma degree, na masters sio kubwa sana, ndio maana hata ufadhili wake hauna changamoto sana.
Ukija upande wa PhD , gharama zinakuwa kubwa sana na wengi kutokupata ufadhili, na kuishia kwenye level ya masters.
Ni wachache sana wanaofanikiwa kupata ufadhili wa kusoma level hii; sio kwamba ambao hawajafikia level hii ya PhD hawana akili, bali ni kutokana na gharama kutokuzimudu, na ufadhili kutokuonekana.
Na waliofanikiwa wachache kufanya PhD hawatoi machapisho ya kutosha yatakayokuja kuwawezesha kuja kuwa maprofesa katika vyuo vyetu hapo baadaye.
Kwa mwenendo huu, mimi naona kuna uwezekano mkubwa huko mbeleni tukakosa watu ambao wana level ya u-profesa.
Nachoweza kushauri, tuwekeze nguvu nyingi kwenye kuwaendeleza wale wote wenye sifa za kusoma PhD lakini hawana vyanzo vya fedha vya kuhudumia ukufunzi wao, ili baadaye tuwe na maprofesa wengi watakaoinua elimu tuliyonayo.