K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 Jul 9, 2013 #1 Kuna habari nilizoshindwa kuthibitisha ya kwamba wahitimu tarajali wote wa vyuo vya Elimu ya Juu watatakiwa kwenda JKT kwa mafunzo maalumu mwezi wa Nane. Naomba kama kuna mtu mwenye habari sahihi aujulishe umma. Amani iwe kwenu!
Kuna habari nilizoshindwa kuthibitisha ya kwamba wahitimu tarajali wote wa vyuo vya Elimu ya Juu watatakiwa kwenda JKT kwa mafunzo maalumu mwezi wa Nane. Naomba kama kuna mtu mwenye habari sahihi aujulishe umma. Amani iwe kwenu!
Qulfayaqul JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 480 Reaction score 84 Jul 9, 2013 #2 kuanzia mwaka gani? wengine tuko katika ajira long time
Kaliro X JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 749 Reaction score 440 Jul 9, 2013 #3 Qulfayaqul said: kuanzia mwaka gani? wengine tuko katika ajira long time Click to expand... kasema Jkt kwa wahitimu wa 2013..
Qulfayaqul said: kuanzia mwaka gani? wengine tuko katika ajira long time Click to expand... kasema Jkt kwa wahitimu wa 2013..