Je kuna JKT kwa wahitimu wa 2013?

Je kuna JKT kwa wahitimu wa 2013?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Kuna habari nilizoshindwa kuthibitisha ya kwamba wahitimu tarajali wote wa vyuo vya Elimu ya Juu watatakiwa kwenda JKT kwa mafunzo maalumu mwezi wa Nane. Naomba kama kuna mtu mwenye habari sahihi aujulishe umma. Amani iwe kwenu!
 
kuanzia mwaka gani? wengine tuko katika ajira long time
 
Back
Top Bottom