Je, kuna kabila la Wamasai na Waarusha?

Waliotokea Kilimanjaro ni Waarusha au Wameru ? Mbona unachanganya mambo
 
hao wote wamasai tu sema mmoja kasogea zaidi polini mwingine mjini kigodo lugha yenyewe moja
 
Waarusha ni kabila linalopatikana mkoani Arusha, sehemu kubwa ya Arusha mjini. Waarusha walitokana na Muingiliano wa makabila ya Wachaga ,Wapare na Wameru + Masai.Wanazungumza kiarusha ambacho ni kama kimasai
 
Duuu kwa hio kumbe kuna ukweli eeeehhhh. Sasa mbona mm sijawahi kusikia kama kuna kiongozi yeyote wa kitaifa kabila la waarusha, maana nimeona mnasema waarusha ni civilized Masai. Nitajieni hata mmoja basi.
 
Eeeh kumbe ? Nilikuwa sijui haya
 
Waarusha ni Wabantu wakati Wamasai ni Nilotic . Lugha wanaongea Moja lakini DNA ya Waarusha ni ya Kipare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…