Je, kuna kifo kizuri kwenye hii Dunia iliyojaa kila aina dhiki?

Je, kuna kifo kizuri kwenye hii Dunia iliyojaa kila aina dhiki?

I give up

New Member
Joined
Aug 1, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Huku na huku nafsi imekata tamaa na kuendelea kuwepo duniani. Sijui nini kinafuata baada ya roho yangu kuacha mwili labda huko mbeleni baada ya kifo nitafahamu.

Siri ya mtungi aijuaye kata, siwezi kuelezea yote ninayoyapitia hata nguvu ya kuandika sina. Malapa na viatu vimeisha kwa kutafuta vibarua vya Kila siku, kodi nimedanganya kwa mwenye nyumba mpaka nimechoka, madeni Kila Mahali napita mtaani kama mwizi kwa kuchoka kuwapanga wadeni wangu.

Familia yangu nyumbani macho kwangu, nimepambana kila niwezavyo kwenye maombi nimehudhuria sana lakini hakuna mabadiko chanya.

Najiuliza Kuna mbinu yoyote ya kujiua ambayo kifo kinakukuta usingizini?
 
SULUHISHO NI KUTOKATA TAMAA, NA KUTAFUTA KAZI KUIFANYA KWA BIDII

Usikate tamaa as long as unapumua na ni mzima huna ulemavu wowote...pambana
 
Millions of other people have gone through something that is extremely similar to what you are experiencing now. And majority of them have gotten through it okay.

Don't worry it gets better over time and surviving this will make you stronger and smarter.
 
60521714.jpg
 
Huna hata demu akupunguze genye maana sometimes genye hupelekea akili kuchoka na kutokuona thamani ya maisha(uhai)
Kama huna please tafuta na bili yake nitumie mimi ili angalau upumzishe mwili.
Ndio uanaume,maisha ni kuhangaika usikate tamaa,siku moja itasahau yote unayopitia.
Jiamini.
 
Pole mkuu, maisha ndivyo yalivyo. Pambana upate riziki na si kupambana kujipa stress na mwisho kufikiria kujiua hilo sio suluhisho. Fanya biashara,jifunze ufundi,Kuna kilimo n.k. Uza hata mahindi au machungwa. Epuka ule ujivuni 'mie msomi' siwezi fanya hiyo kazi.'Wengine wanafikiria ajira ndio suluhisho. Jifikirie wewe kwanza unasurvive vipi?

Acha kujipa mizigo ya mawazo eti wazazi na ndugu wananitegemea. Hao wataishi hata leo hii ukifa. Watazika, wengine watakubeza kwa uamuzi wako Kisha watasahau.

Kama una mke na familia/watoto basi kuwakimbia utakuwa baba/mume mwoga ambaye unayefikiria kuwakimbia na kuwaachia matatizo. Be a man, never give up.
 
Back
Top Bottom