Je, kuna Kilimo cha Cactus Tanzania?

Hapana hakuna ila micactus ipo inajiotea maeneo kame hivyo bado watu hawajajikitw katika kilimo chake
 
Soko lake lipo mbioni hasa kwa wale wanaofanya kilimo hai ndio mteremko wao maana hii ni moja ya mahitaji ya msingi katika kutengeneza mbolea na viuatirifu rafiki vya kilimo hai
Likipatikana soko lake watu watalima tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…