Je, kuna Kilimo cha Cactus Tanzania?

Je, kuna Kilimo cha Cactus Tanzania?

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
2,926
Reaction score
3,530
Hivi hapa Bongo kuna watu wanao lima haya mafraisha kama kilimo biashara?

images%20(1).jpg
 
Hapana hakuna ila micactus ipo inajiotea maeneo kame hivyo bado watu hawajajikitw katika kilimo chake
 
Soko lake lipo mbioni hasa kwa wale wanaofanya kilimo hai ndio mteremko wao maana hii ni moja ya mahitaji ya msingi katika kutengeneza mbolea na viuatirifu rafiki vya kilimo hai
Likipatikana soko lake watu watalima tu.
 
Back
Top Bottom