Ndugu wanajamii,
Je, kuna kiswahili cha neno ''side effect''?
Je, ni sahihi kusema ''side effect''=Madhara au Madhara tarajiwa?
Nawasilisha.
Madhara ya upande mmoja
Kenya wanasema "athari za kandoni"
Kenya wanasema "athari za kandoni"
Ndugu wanajamii,
Je, kuna kiswahili cha neno ''side effect''?
Je, ni sahihi kusema ''side effect''=Madhara au Madhara tarajiwa? Hasa linapotumika katika muktadha wa kitabibu.(yaani Madawa au ''Medicine'')
Nawasilisha.
Mkuu
matarajio ya kinyume kuongea, uandishi yawezayo tokea!!
nina uhakika, in english we use spoken and writen!!
effect siyo madhara, kiswahili sahihi ni matokeo/ matarajio. so yaweza kuwa mazuri ( positive) au kinyume yaani mabaya ( negative) hivyo basi hapo neno la msingi ni matarajio/matokeo na si madhara.
SP