Je, kuna Kiswahili cha ''Side effect''?

Je, kuna Kiswahili cha ''Side effect''?

'side effects' kwenye tiba ina maana 'athari ndogo' kutokana na tiba, kwa hiyo neno 'athari' au 'madhara' hayatoshelezi kwenye tafsiri. Wataalam wa kiswahili tunawasubiri.
 
Back
Top Bottom