kmbwembwe JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 10,892 Reaction score 7,780 Jul 30, 2013 #21 'side effects' kwenye tiba ina maana 'athari ndogo' kutokana na tiba, kwa hiyo neno 'athari' au 'madhara' hayatoshelezi kwenye tafsiri. Wataalam wa kiswahili tunawasubiri.
'side effects' kwenye tiba ina maana 'athari ndogo' kutokana na tiba, kwa hiyo neno 'athari' au 'madhara' hayatoshelezi kwenye tafsiri. Wataalam wa kiswahili tunawasubiri.