Je, kuna kitu hakipo sawa kati ya CHADEMA na Polisi? Kama kipo watujuze. Mauaji ya huyu mzee yamewauma sana Watanzania

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Juzi kati hapa polisi waliwatuhumu CHADEMA kuwa na njama za kuchoma vituo na kuleta ghasia. Tuhuma ambazo zilitolewa na msemaji wa jeshi la polisi.

CHADEMA walijibu juu juu na kukanusha . Walibaki kumshambulia msemaji wa jeshi la polisi kwa kebehi na vitisho.

Huyu mzee aliyeuawawa kikatili inasemekana alikuwa askari wa jeshi mstaafu.

Kwa mujibu wa John Mnyika kamata kamata ya huyu mzee aliyeuawawa ilifanyika mchana. Abiria waliona watu wenye silaha za kivita. Askari wa usalama wa barabarani alikuwa ameketi siti ya mbele ya gari walilokuwa wakitumia wakamataji.

Maswali ni mengi. Lakini hata kama huyu mzee alikuwa na kosa au mvutano na Jeshi la polisi kama ni kweli walimkamata. Kwa nini wasingempeleka mahakamani kwa mujibu wa sheria za nchi?

Kwa nini waliomuua hawakutaka atambulike?

Soma Pia:
Kama kuna kitu hakipo sawa kati ya CHADEMA na Polisi tunaomba tuambiwe.
 
Juzi kati hapa polisi waliwatuhumu CHADEMA kuwa na njama za kuchoma vituo na kuleta ghasia. Tuhuma ambazo zilitolewa na msemaji wa jeshi la polisi.

CHADEMA walijibu juu juu na kukanusha . Walibaki kumshambulia msemaji wa jeshi la polisi kwq kebehi na vitisho.

Huyu mzee aliyeuawawa kikatili inasemekana alikuwa askari wa jeshi mstaafu.

Kwa mujibu wa John Mnyika kamata kamata ya huyu mzee aliyeuawawa ilifanyika mchana. Abiria waliona watu wenye silaha za kivita. Askari wa usalama wa barabarani alikuwa ameketi siti ya mbele ya gari walilokuwa wakitumia wakamataji.

Maswali ni mengi. Lakini hata kama huyu mzee alikuwa na kosa au mvutano na Jeshi la polisi kama ni kweli walimkamata. Kwa nini wasingempeleka mahakamani kwa mujibu wa sheria za nchi?

Kwa nini waliomuua hawakutaka atambulike?

Soma Pia:
Kama kuna bifu kati ya CHADEMA na Polisi. Watuambie.
Damu yake itasema yote,ikiwezekana mpaka Ikulu itafika hakuna wa kuizuia,na kifo chake kimeludisha nguvu upya ya Chadema na kimeitia doa CCM
 
Huyu mzee aliyeuawawa kikatili inasemekana alikuwa askari wa jeshi mstaafu.

Kwa mujibu wa John Mnyika kamata kamata ya huyu mzee aliyeuawawa ilifanyika mchana. Abiria waliona watu wenye silaha za kivita. Askari wa usalama wa barabarani alikuwa ameketi siti ya mbele ya gari walilokuwa wakitumia wakamataji.

Maswali ni mengi. Lakini hata kama huyu mzee alikuwa na kosa au mvutano na Jeshi la polisi kama ni kweli walimkamata. Kwa nini wasingempeleka mahakamani kwa mujibu wa sheria za nchi?

Kwa nini waliomuua hawakutaka atambulike?

Soma Pia:
Kama kuna bifu kati ya CHADEMA na Polisi. Watuambie.
Naunga mkono hoja
P
 
Kila kitu hakiko sawa baina ya Polisi na Tanzania yote kwa ujumla wake sio Na Chadema tu. Polisi ni adui wa watanzania sio wana chadema pekee, watanzania wote hawako salama ukiondoa waliojimilikisha nchi yaan vigogo wa chama serikal na taasis zake
 
Mauaji ya Akwilina,Mwangosi na watu wengine kedekede yaliuma na watu wakasahau.watesi wenu washajua wanatawala kondoo.

Kama watu wanaabudu dikteta rwanda kisa kaleta maendeleo huku wanayafumbia macho mauaji ya wenzao,kuna watu kweli huku Afrika. Tutafute visa twende tukabanane mahali pengine.kuendelea kuzaa watoto TZ ili waje kuteswa na sisiemu kwangu mimi naona nitakuwa sijatendea haki kizazi changu
 
Maswali ni mengi. Lakini hata kama huyu mzee alikuwa na kosa au mvutano na Jeshi la polisi kama ni kweli walimkamata. Kwa nini wasingempeleka mahakamani kwa mujibu wa sheria za nchi?
Swali zuri?
 
Back
Top Bottom