Je, kuna kitu mithiri ya JF nchi za jirani ambako tunaweza kuji register kama hapa JF?

Je, kuna kitu mithiri ya JF nchi za jirani ambako tunaweza kuji register kama hapa JF?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Katika nchi jirani kuna social media kama JF ambapo tunaweza kujiandikisha kama tunavyofanya hapa JF? Itapendeza kuona wenzetu wanasema nini kuhusu sisi, sisi kuwajua wao wanasemaje kuhusu kwao etc etc.
 
Zipo
 
Hii ni gazeti online, siiyo kama JF, maana not user-generated content and anonymity I guess is not a priority
Hapa kwetu kulikuwa na gazeti la raiamwema online.lakini limefungiwa.wenzetu wako mbali lazima tukubali.
 
hujanipata vizuri. Facebook si ya majirani, nataka kitu cha native Kenyan, Ugandan, Mozambican ambapo anonymity inakuwa maintained and user-generated content etc.....
Kenyanlist.com
Ugandaonline.com
Nairaland.com
Nk
 
Hapa kwetu kulikuwa na gazeti la raiamwema online.lakini limefungiwa.wenzetu wako mbali lazima tukubali.
Mkuu hivi umeelewa kile ambacho mleta Uzi anataka?wewee umekalia kuleta lawana zako na habari za magazeti kufungiwa,be watchful
 
Zipo kenyanlist na kenya talk ambayo ni copy na paste ya JF ila zimedoda sana, wachangiaji wachache sana.
 
Back
Top Bottom