Je, kuna kitu mithiri ya JF nchi za jirani ambako tunaweza kuji register kama hapa JF?

Je, kuna kitu mithiri ya JF nchi za jirani ambako tunaweza kuji register kama hapa JF?

Nairaland ni balaa na nusu ,ina madini ya kufa mtu JF ilikuwa zamani ss hivi utoto mwingi watu wachonyo hawatoi michongo wala madini km zamani wakati inaanza.
 
Katika nchi jirani kuna social media kama JF ambapo tunaweza kujiandikisha kama tunavyofanya hapa JF? Itapendeza kuona wenzetu wanasema nini kuhusu sisi, sisi kuwajua wao wanasemaje kuhusu kwao etc etc.
Naamini hii inaweza kufikiwa sehemu nyingi muhimu duniani,kwa mjuzi said msaada kwenye tuta
 
Zipo kenyanlist na kenya talk ambayo ni copy na paste ya JF ila zimedoda sana, wachangiaji wachache sana.
Kenyanlist walikuwa wanatupiamo picha za upupu kama rahatupu walivobadili iwe kama JF member wengi wameamia team mafisi telegram huko
 
Back
Top Bottom