TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Naamini hii inaweza kufikiwa sehemu nyingi muhimu duniani,kwa mjuzi said msaada kwenye tutaKatika nchi jirani kuna social media kama JF ambapo tunaweza kujiandikisha kama tunavyofanya hapa JF? Itapendeza kuona wenzetu wanasema nini kuhusu sisi, sisi kuwajua wao wanasemaje kuhusu kwao etc etc.
Unafikiri ni nini kimebadilika Hadi inakuwa hivyoNairaland ni balaa na nusu ,ina madini ya kufa mtu JF ilikuwa zamani ss hivi utotot mwingi watu wachonyo hawatoi michongo wala madini km zamani wakati inaanza.
Zanzibar forumKenyanlist.com
Ugandaonline.com
Nairaland.com
Nk
hakuna kama Jf,Mello ni genius
Kenyanlist walikuwa wanatupiamo picha za upupu kama rahatupu walivobadili iwe kama JF member wengi wameamia team mafisi telegram hukoZipo kenyanlist na kenya talk ambayo ni copy na paste ya JF ila zimedoda sana, wachangiaji wachache sana.