Mimi ni mwanafunzi ninayesoma Utabibu, je, kuna short course ya Afya ya Ngozi (skin care) au mpaka niwe specialized doctor wa ngozi?
Lengo langu kubwa ni kuwa mfanyabiashara mkubwa wa masuala ya vipodozi, sasa ili niwe na utaalamu wa kumshauri mtu kipodozi kipi atumie na kipi asitumie inabidi niwe na maarifa ya kutosha.
Msaada wenu unahitajika mno.