Snipa naomba kupata contacts tafadhali iyo na iyo ya tabata yaweza kuwa nzuri kwangu maana mimi nipo tabata segerea chama ntajaribu kufuatilia pia na iyo
Fuatahiyo link niliyokuwekea kila kitu kinajielezaShukrani ila napenda kujua coz ni ya muda gani na kama naweza pata contacts zao ni bora zaidi
Wewe naye unaonekana mvivu kila kitu nimekuwekea bado unauliza......haya hii hapa wapigie Jumanne;Shukrani sana ila sijaweza pata namba yao
ya simu ila kama nlivyouliza swali je hii ni coz ya muda mfupi preferably 3 months or less
Thanks in advance
Hii hapa sasa ndo ipo kamiliThanks thumbs up your gr8t
Naweza kujua course ni ya muda gani tafadhali
Naona kam itakua preferably in 3 years