Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani naomba mnijuze ili niwe professional katika sekta hiyo itachukua muda gani
muggyen unataka nini hasa? Academic Knowledge au Expertise?
Kama ni ya kwanza, we do not do it. kama ni later, karibu.
Kujifunza ndani ya miezi mitatu ni possible kukupa ufahamu kama utakuwa serious
Ila kuwa na uwezo wa kufanya inahitaji mazoezi ya kutosha na hii ina tofauti toka mtu hata mtu!
Shukrani ndugu. Majukumu yanakuwa mengi most of the time.kaka uwe unaingia some times kucheki mentioning au post quotes ! Alike !
My take !
Good luck
Kuusu kipaji naona hapa ndo nyumbani kwake ngoja nifuatilie ucc na ada kama vipi nkaanze kozi yani naipenda na nina hamu kubwa ya kufahamu juu ya hii kozi computer ninayo kwa hiyo mazoezi ntaweza kufanya kwa ukaribu zaid